Tuesday, August 14, 2012

Mungu akipanga hakuna anayeweza kuzuia,hata kama ulikuwa shimoni,utaibuka tu!

Wednesday, August 8, 2012

Unawajua ndugu wa Obama walioko Kogelo?

Obama na ndugu zake nchini kenya,kipindi hicho!
 Mdogo wake Obama anaeitwa George Husein Obama,hapo ndio home kwake Kenya.
George Obama akiwa katika pozi la kawaida.

Friday, August 3, 2012

Mh kwa style hii walimu ni watu muhimu!


Sunday, July 22, 2012

Tofauti ya wanawake na wanume!

 Hapa jamaa anapigwa biti akate karaoti,
Ona balaa hili wanaume wapokasirika!