Monday, June 13, 2011

Wewe unalala au unafanyaje? Tazama .............................!




Au unajificha tu usiku upite?

Mtu mfupi kwa sasa duniani!

Ndio baeleze bajue na bafahamu,bikozi bamezoea kuzichukua......................!

Ndio!

Tukiijaribisha kwa wavunja sheria wa barabarani kama wewe ingekuwaje?

Chini,Juuu.Chiniiii,Juuuu! kazi kwelikweli!

Uswazi kama kawa........................................!

Naafikiri hatujamjua adui wa kupambana nae!

Itafunga tu hiyo................................!

Kazi ipo!

Eeeeeeeeeeeeeeeeeh,maini hayazeeki au.....................?

Utamu wa vanila eeeeeeeeeeeh,utamu!

Jiulize ukiwa nazo kama hizo chumbani kwako!

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!

Nafikiri bajeti ya 2011/2011 itamaliza matatizo ya hawa vijana!

Kazi ipo!

Bwana Zito Kabwe!

Kaburi la Amina Chifupa!

Baada ya dhiki..........................................!

Swahiba na kitu cha kizungu!Ama kweli kwenye mafanikio ya mwanume nyuma yupo mwanamke!

Kwa yesu kila goti litapigwa!

Mungu yupo kokote mpaka Nigeria!

Tamaduni na mila zetu!

Hivi ndivyo waafrika tulivyokuwa tunavaa!

Kujivua gamba ndio huku

Si unaona mwenyewe!