Sunday, July 22, 2012

Tofauti ya wanawake na wanume!

 Hapa jamaa anapigwa biti akate karaoti,
Ona balaa hili wanaume wapokasirika!

Karibu tule,kama jasho la mtu laliwa!

Halafu kanona vibaya sana!

Hivi ndivyo tunavyotengeneza wasomi wetu.........!