Friday, December 2, 2011

Picha zilizoshangaza Watanzania mwaka 2011 hasa katika medali za siasa

 Alipowasili Wizara ya Nishati,ilikuwa shangwe,nderemo na vifijo!
 Baada ya kumaliza taratibu mbalimbali za kiofisi,wafanyakazi wenzake walamua kumsindikiza!
Na mwisho wakamsukuma kabisa kama mwanasiasa fulani wakati wa kampeni!

Tulikotoka na Tulipo sasa!

Mh,kazi ipo!

Kata GOTI HIYO.............!

Kazi ipoooooooooooo!