Sunday, February 26, 2012

Shule zetu za uswahilini na mambo yanayojiri huko.

Pamoja na adhabu kama hizi lakini mambo yansonga taratibuuuu!
Na baadae huwa tunacheza kiduku.
Viboko hasa vya miti migumu kama mipera nk
Hapo ticha anamwambia denti punguza hizo kaptula ulizovaa ndani,
Jioni tunajipoza na baiskeli aka Phoenix ya Mkulima
Madarasa yetu ndio kama haya hapa,
Usilidharau hilo darasa,hapo wanafaulu wanafunzi wakati mwingine,
Darasa la kwanza hilo,
Darasa la pili au la tatu,
Halafu ukifaulu unaendelea hapo,
Mh nafikiri darasa la pili,
Darasa la tatu hilo,
Darasa la nne
School Baraza hiyo hasa wakati wa kufunga shule,

Na darasa hilo umelionaje?

Ni wabunge wa CCM peke yao tu ndio wanaolala?

 Wasira kama kawaida,
 Ona tena hapa,
 Hawa sawajui,
Kapteni komba,alpoulizwa alisema alikuwa kwenye maombi mazito ya kuliombea taifa!