Wednesday, September 21, 2011

UNAUWEZA USHABIKI HUU?Kwa wana simba na yanga hii mnaiweza?

ULINZI HUU UNAUONAJE?

Halafu unaweka na alarm,ikiguswa tu unajua!

MISS KUKONDA

Huyu sijui ni miss nani,kazi ipo!

Kwa wanandoa jifunzeni hapa!

Ndoa ya miaka 85!

YES KAZI NI KAZI MURAAAAAAAAAAA!

SAFI SANA MAMA,HISTORIA ITAWAKUMBUKA WWE NA MZEE NYERERE!