Monday, May 23, 2011

Huyu ndio mwanadada aliyemwaga unga wa Bothi wa IMF

Mdingi kamwaga UGALI sababu ya huyo mtoto wa kiafrika kadhi kwelikweli!

Nafikiri raisi wangu mugabe amechoka!

Kazi aliyoifanya ni kubwa sana naamini atatumia busara kupumzika.