Sunday, February 26, 2012

Shule zetu za uswahilini na mambo yanayojiri huko.

Pamoja na adhabu kama hizi lakini mambo yansonga taratibuuuu!
Na baadae huwa tunacheza kiduku.
Viboko hasa vya miti migumu kama mipera nk
Hapo ticha anamwambia denti punguza hizo kaptula ulizovaa ndani,
Jioni tunajipoza na baiskeli aka Phoenix ya Mkulima
Madarasa yetu ndio kama haya hapa,
Usilidharau hilo darasa,hapo wanafaulu wanafunzi wakati mwingine,
Darasa la kwanza hilo,
Darasa la pili au la tatu,
Halafu ukifaulu unaendelea hapo,
Mh nafikiri darasa la pili,
Darasa la tatu hilo,
Darasa la nne
School Baraza hiyo hasa wakati wa kufunga shule,

Na darasa hilo umelionaje?

Ni wabunge wa CCM peke yao tu ndio wanaolala?

 Wasira kama kawaida,
 Ona tena hapa,
 Hawa sawajui,
Kapteni komba,alpoulizwa alisema alikuwa kwenye maombi mazito ya kuliombea taifa!

Saturday, February 25, 2012

Unakumbuka mambo ya babu wa loliondo?angalia hapa!

 Babu alipoanza kazi,
 Taratibu waliojibinafsisha nchi yetu nao wakaanza kwenda.
 Si unaona full adabu,hata mlingotini nahisi wanakuwa na adabu kama hii.
 Unaona hapa,mpaka tyson na mkono ndani.
 Hata ukiwa na bunduki,babu alikuwa haangalii ni kikombe tu.
Cheki alivyovijaza,nasikia hata wazee wenyewe wali tia timu,Babuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Jk kaaamua kuhamia kwenye gwanda rasmi,nape ajifunze mapema.

 Cheki JK jinsi alivyoanza kutamani kuvaa gwanda la Chadema,hapo yuko na Tund Lisu.
 Jk na Slaa wakifanya harambee ya CCBRT

 Na hapa kama anamwambia gwanda limekupendeza saaaaana.
 Hapa wali match full black,
Duh hapa kaaamua kuvaa gwanda kabisa!

Saturday, February 4, 2012

Nani anafaa kuongezewa posho katika hawa wafuatao!


Wako bungeni,halafu ona madarasa ya watoto wetu!
Miaka hamsini tunakaa chini,watoto wetu hawana madawati,
Hiyo ndio shule bwana,daktari wa maana atatoka wapi?
Na hilo darasa umelionaje?
Wakifaulu katika shule za kata madarasa ndio hayo!
Na wakina mama ambao ndio inasemekana ndio wapigajia kura wengi wa chama tawala hospitalini wwanahudumiwa hivi
Ndio,hapa tunstahili sisi na mama zetu na dada zetu,wao wakiumwa mafua wanapelekwa INDIA.
Vitanda pia vimetushinda,VX  V8 wameweza kununua.
Balaa tupu,kama mafungu ya nyanya,kumbe hospitali.
Maji ndio kabisa
Umemuona kada huyo akinywa maji?
Cheki walivyonenepa,hawana njaa asilani,
Wanajifanya wako pamoja na sisi,
Wameshiba mpaka wanalala
Na huu ni msimu wa wao kuvuna na kutudanganya!
Wakati wanaambiana wanafikiria kwa kutumia masaburi,kazi ipo!
Kalala fofofo,unafikiri atakumbuka hata yanayoongelewa hapo bungeni?angekuwa na njaa wala asingelala.....