Saturday, April 28, 2012

Wadau scholarship hizi za JAPANI.

Fuata link hizi: http://www.tz.emb-japan.go.jp/study.html , embassyofjapan_TZ@dr.mofa.go.jp 
Week end njema.

Thursday, April 26, 2012

Amazing private island,cheki wazungu wanavyotengeneza mazingira ya kula bata!


Wednesday, April 25, 2012

Kwa wale masharo baro angalieni hii!

Ndio kata k.......... ilikotokea,sasa wewe unavaa hivi unasemaje?

Monday, April 23, 2012

Sunday, April 22, 2012

Huu ndio uhuru wa vyombo vya habari vya bongo,balaa tupu!

Mh hawa ndio makanjanja wa habari,vyuo vyenyewe vya chini ya miembe,unafikiri wataandika kitu gani?

Saturday, April 21, 2012

Mambo ya FILIKUNJOMBE!

Hapa alikuwa anaanguka signature (saini)
Hapo jina lake likatokea kama hivi,Jamaa ni jasiri,
Ni salamu kwa januari Makamba!