Saturday, June 25, 2011

Mh wadau hii imenitisha kidogo.............................!

Ndio watoa maamuzi wa mustakabali wa maisha yetu na watoto wetu!
Wanaosema ndio waseme ndio,unafikiri atasema nini........................................?

Tukiamua tunaweza!

A SKILLED HAND HAS AN INOVATED MIND!

Kazi ya jeshi hiyo,hongera jkt kwa kutengemeza wakomavu kiasi hiki!

Kigongo hakipiti hicho ng'o!