Saturday, June 11, 2011

Mlima Kilimanjaro!

Kijani kwenda mbele,safi sana!

Afande Sele na Asilimia Ishirini!

Bia mbili kama kawa,ndala baba na mama au shangazi na mjomba!

Wabongo na kiswanglishii chetuuuuuuuuu!

Kiswahili ishu,kizungu ishu,kazi kwelikweli!