Wednesday, August 8, 2012

Unawajua ndugu wa Obama walioko Kogelo?

Obama na ndugu zake nchini kenya,kipindi hicho!
 Mdogo wake Obama anaeitwa George Husein Obama,hapo ndio home kwake Kenya.
George Obama akiwa katika pozi la kawaida.