Sunday, May 22, 2011

Dada zangu mnaopenda kusukwa rasta za kimasai huduma hii itafunguliwa hivi karibuni,wapi tuwasiliane!

Msiogope!

Angalieni mnao chat nao kwenye mafacebuku,eskimi na ma twita!

Sijui siku mtakapokutana itakuwaje?mtakimbiaana?mtadanganyana tena au?

Ila tusifikie hapa baada ya kilaji!


Na huku kwetu uswahilini ikifikia hapa mambo yanakuwa mengine kabisa!

Kwa wataalamu wa kilaji wikiendi isije ikawa kama hivi.

Uzuri ni kwamba hata masika pia imekwisha hivyo tuendelee kama kawaida!