Tuesday, August 14, 2012

Mungu akipanga hakuna anayeweza kuzuia,hata kama ulikuwa shimoni,utaibuka tu!

Wednesday, August 8, 2012

Unawajua ndugu wa Obama walioko Kogelo?

Obama na ndugu zake nchini kenya,kipindi hicho!
 Mdogo wake Obama anaeitwa George Husein Obama,hapo ndio home kwake Kenya.
George Obama akiwa katika pozi la kawaida.

Friday, August 3, 2012

Mh kwa style hii walimu ni watu muhimu!


Thursday, May 24, 2012

Yaliyotokea magogoni ya mali ndio haya!

Vijana wameingia mpaka ndani,wanjeshi na walinzi wakashindwa kumuokoa kiongozi wao,kuna cha kijifunza hapa!