Monday, June 13, 2011

Eeeeeeeeeeeeeeeeeh,maini hayazeeki au.....................?

Utamu wa vanila eeeeeeeeeeeh,utamu!

Jiulize ukiwa nazo kama hizo chumbani kwako!

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!

Nafikiri bajeti ya 2011/2011 itamaliza matatizo ya hawa vijana!

Kazi ipo!

Bwana Zito Kabwe!

Kaburi la Amina Chifupa!

Baada ya dhiki..........................................!

Swahiba na kitu cha kizungu!Ama kweli kwenye mafanikio ya mwanume nyuma yupo mwanamke!

Kwa yesu kila goti litapigwa!

Mungu yupo kokote mpaka Nigeria!

Tamaduni na mila zetu!

Hivi ndivyo waafrika tulivyokuwa tunavaa!

Kujivua gamba ndio huku

Si unaona mwenyewe!