Tuesday, July 31, 2012

Haya ndio mazingira ya walimu,na hizi ndio shule wanazosoma!






Walimu wana hiari ya kugoma au kuendelea kufundisha!

Sunday, July 22, 2012

Tofauti ya wanawake na wanume!

 Hapa jamaa anapigwa biti akate karaoti,
Ona balaa hili wanaume wapokasirika!

Karibu tule,kama jasho la mtu laliwa!

Halafu kanona vibaya sana!

Hivi ndivyo tunavyotengeneza wasomi wetu.........!



















Thursday, May 24, 2012

Yaliyotokea magogoni ya mali ndio haya!

Vijana wameingia mpaka ndani,wanjeshi na walinzi wakashindwa kumuokoa kiongozi wao,kuna cha kijifunza hapa!

Wednesday, April 25, 2012