Wednesday, April 18, 2012

Duh hivi huu mkutano ni CCM au CUF!

Na hizo kanga za mezani nazo!anyway ndio mambo ya muafaka haya!

Hivi ni kweli waafrika ni kama derived quantity na sio fundamental kama watu weupe?

Kazi ipo!

Duh,bakora hazikutembea kweli hapa!

Balaa kwelikweli.

Mambo ya facebook hayo!

Network inapatikana juu ya mnazi,kazi ipo!

Mikao ya kupiga picha kutoka china!

 Hapo mguu umepinda kidogo!
 Pozi la kulala hilo!
 Hapo sijui amechuchumaa au ameinama.
Hapo anajiandaa kutoa mawashi ya kupiga picha.

Kazi ni kazi,bora mkono uende kinywani!

Jamaa anaweza kula anakonda au anaonea vinyoka vidogovidogo?

Sunday, February 26, 2012

Shule zetu za uswahilini na mambo yanayojiri huko.

Pamoja na adhabu kama hizi lakini mambo yansonga taratibuuuu!
Na baadae huwa tunacheza kiduku.
Viboko hasa vya miti migumu kama mipera nk
Hapo ticha anamwambia denti punguza hizo kaptula ulizovaa ndani,
Jioni tunajipoza na baiskeli aka Phoenix ya Mkulima
Madarasa yetu ndio kama haya hapa,
Usilidharau hilo darasa,hapo wanafaulu wanafunzi wakati mwingine,
Darasa la kwanza hilo,
Darasa la pili au la tatu,
Halafu ukifaulu unaendelea hapo,
Mh nafikiri darasa la pili,
Darasa la tatu hilo,
Darasa la nne
School Baraza hiyo hasa wakati wa kufunga shule,

Na darasa hilo umelionaje?

Ni wabunge wa CCM peke yao tu ndio wanaolala?

 Wasira kama kawaida,
 Ona tena hapa,
 Hawa sawajui,
Kapteni komba,alpoulizwa alisema alikuwa kwenye maombi mazito ya kuliombea taifa!